Dar es Salaam News
Lugha ya Kifarsi
UTANGULIZI: JIOGRAFIA NA LUGHA YA KISWAHILI “Jiografia ya Kiswahili” au Pwani ya Kiswahili ni ukanda mrefu unaofuatilia pwani ya Mashariki mwa Afrika, kuanzia kusini mwa Somalia, kupita pwani za Kenya na Tanzania, hadi visiwa vya Comoro, Mayotte na sehemu za Msumbiji na kaskazini mwa Madagascar. Lugha kuu ya watu wengi katika eneo hili ni Kiswahili. Lugha hii ni tawi la lugha za Kibantu na ni moja ya lugha muhimu za Kiafrika, ambapo leo hii takriban watu zaidi ya milioni 200 katika nchi 14 za Afrika Mashariki na Kati wanaongea au kufahamu Kiswahili.
Kukamilika kwa Kozi ya Lugha ya Kiajemi
Kukamilika kwa Kozi ya Lugha ya Kiajemi katika hatua ya awali (msingi) mnamo Julai 31, 2025
MWANAZUONI MAARUFU WA HISTORIA YA KISHIRAZI ATEMBELEA KUTOA CHA UTAMADUNI CHA IRAN
Prof. Abdul Shariff na ziara yake ndani ya kituo cha utamaduni cha Iran , ziara iliyolenga kuimarisha Historia muhimu ya Uajemi baina ya Iran na Tanzania
Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa IRAN
Iranian missiles today use a combination of old and new technologies
Meeting with the President of the Student Union at St. Augustine University of Mwanza.
A Remarkable Celebration of Shirazi Heritage
Iran inalaani vikali vitendo vya kikatili vya Israeli katika Asia Magharibi
Akihutubia mkutano wa tatu wa Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD) katika mji mkuu wa Qatar, Doha, siku ya Alhamisi, Pezeshkian alisema kuwa utawala wa Israeli hivi karibuni utakabiliwa na haki kwa makosa makubwa ambayo umefanya katika Asia Magharibi, na Iran itaendelea kuunga mkono “mti wenye nguvu” wa makundi ya upinzani hadi Palestina itakapokuwa huru.
Ayatollah Khamenei : Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ndio chanzo cha matatizo ya kikanda
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Seyed Ali Khamenei, alisema kwamba chanzo cha matatizo ya eneo hili kiko katika uwepo wa nchi kama Marekani na baadhi ya mataifa ya Ulaya, ambayo yanafanana na kutaka kuonekana kama wafuasi wa amani.
Iran Yarusha Makumi ya Makombora ya Balestiki katika Maeneo Yanayokaliwa
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitangaza Jumanne kuwa limerusha makumi ya makombora katika maeneo yaliotekwa kwa mabavu kujibu mauaji ya Israel ya kamanda mkuu wa Iran, pamoja na viongozi wa Hamas na Hizbullah.