Page Number :2

National News

kumbukizi ya miaka 44 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
kumbukizi ya miaka 44 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Imam Khomeini (M.A) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alirejea nchini Iran na kulakiwa na umati mkubwa wa wananchi, baada ya kuwa uhamishoni kwa zaidi ya miaka 10; siku ambayo imebakia kuwa moja ya siku za kihistoria zenye kukumbukwa mno katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
kumbukizi ya kifo cha Shahed Haj Qassem Suleimani
kumbukizi ya kifo cha Shahed Haj Qassem Suleimani
Leo tarehe 3 Januari 2023, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
Sherehe za Yalda
Sherehe za Yalda
Usiku wa Yalda au Usiku wa Chelleh ni moja kati ya sherehe kongwe zaidi za Kiirani. Sherehe hiyo hufanyika ikiwa ni kusherehekea usiku mrefu zaidi wa mwaka, kisha hufuata kipindi cha mchana kuwa mrefu zaidi katika nusu ya kaskazini mwa dunia.
Siku ya Tarehe 18 mwezi wa 11 /2022 Kituo cha Utamaduni cha Iran hapa Dar es Salaam kilipata mwaliko rasmi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitengo cha Sanaa (ARTS) kuhudhuria hafla maalumu ya kupokea wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha Dar es Salaam..

Siku ya Tarehe 19 mwezi wa 11 /2022 Kituo cha Utamaduni cha Iran hapa Dar es Salaam kilipata mwaliko rasmi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitengo cha Sanaa (ARTS) kuhudhuria hafla maalumu ya kupokea wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha Dar es Salaam..
Semina Mfumo wa Maisha ya Kiislamu - Dar es Salaam
Semina Mfumo wa Maisha ya Kiislamu - Dar es Salaam
Siku ya Alkhamisi Kituo cha Iran kilifanya Semina kuhusu Mtume Mtume
Arbaeen Imam Hussein
Arbaeen Imam Hussein
imam husseini AS
Ujumbe wa Jamiatul Mustafa wakutana na Rais wa Zanzibar Dkt . husseini Mwinyi
Ujumbe wa Jamiatul Mustafa wakutana na Rais wa Zanzibar Dkt . husseini Mwinyi
Ujumbe wa Jamiatul Mustafa wakutana na Rais wa Zanzibar Dkt . husseini Mwinyi
Rais Samia akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Iran
Rais Samia akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Iran
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mhe. Amir Abdlollahian Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

Jumuiya ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ni moja ya mashirika ya Iran ambayo yanafungamana na Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu; na ilianzishwa mwaka 1995. [Ziada]

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: