Page Number :1
National News
Mkutano wa UN
Raisi amesema hayo katika hotuba yake mbele ya Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuongeza kuwa, "Dunia inaelekea katika nidhamu mpya ya kimataifa, na mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli."
Bunge la Iran lawasili Tanzania
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Kamati ya Kilimo, Maji, Maliasili na Mazingira kutoka Bunge la Jamhuri ya Kiislam ya Iran Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 5 Septamba, 2023.
Rais wa Iran Ebrahim Raisi akutana na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Iran Ebrahim Raisi akutana na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kando ya mkutano wa 15 wa kundi la nchi zinazoibukia kiuchumi za BRICS mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Agosti 24, 2023.
Ibada ya Hija
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika kikao cha maafisa wanaoshughulikia ibada ya Hija kwamba: Hija ni tukio la kimataifa na miadi ya dunia yenye manufaa mengi ya dunia na Akhera.
Siku kuu ya eid mubarak
hakika waislamu wanasherehekea siku kuu hii ya eid fitr kote ulimwenguni
Eid Nowruz (Mwaka mpya wa Iran)
Heri ya Nowruz na Mwaka Mpya wa Iran
Imetungwa Na: Firouzeh Mirrazavi
Naibu Mhariri wa Mapitio ya Iran
Kuanzia katika historia ya kale ya Iran, Nowruz huadhimishwa na zaidi ya watu milioni 300 duniani kote mnamo Machi 21, siku ya chemchemi,
Mheshimiwa Dkt. Hassan Abbas, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Siku ya Utamaduni ya Iran – Dar es Salaam
Siku ya Jumatatu, Tarehe 13 Mwezi Februari 2023 ilikuwa siku nzuri ya uzinduzi ya WIKI YA UTAMADUNI WA IRAN
Mheshimiwa Dk. Hassan Abbas, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ndiye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo wa Siku za Utamaduni wa Iran.. katika hotuba yake alielezea namna alivyokuwa anashirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Iran tangu enzi hizo…
kumbukizi ya miaka 44 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Imam Khomeini (M.A) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alirejea nchini Iran na kulakiwa na umati mkubwa wa wananchi, baada ya kuwa uhamishoni kwa zaidi ya miaka 10; siku ambayo imebakia kuwa moja ya siku za kihistoria zenye kukumbukwa mno katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.