• Nov 9 2022 - 03:50
  • 408
  • Muda wa kusoma : Less than one minute
Ziara fupi ya Kituo cha Utamaduni

Mwambata wa Kituo cha Utamaduni cha China leo mapema saa 5 asubuhi amefanya ziara katika Kitu cha Utamaduni cha Iran

  1. Mgurenzi wa  Kituo cha  Utamaduni wa Ubalozi wa China  nchini TanzaniaWang Siping na ujumbe wake leo hii walikuwa na ziara fupi katika Kituo cha Utamaduni cha Iran hapa Dar es Salaam.
  2.  
  3. Alipokelewa na mwenyeji wake ambaye ni Mkurugenzi Mwambata wa Kituo cha Utamaduni cha Iran hapa Dar es Salaam Bwana Morteza Pirani, Madhumu hasa ya viara hii hii fupi ya Bwana Wang Siping ni kuja kubadilishana uzoefu na Mwambata wa Iran. Ikumbukwe kuwa Iran na China wamekuwa na Uhusiano mzuri na wa muda mrefu sana hasa upande wa Sanaa na utamaduni

  1.  
  2. China na Iran ni nchi ambazo zinatamaduni za muda mrefu na Iran imetumia nafasi hii kuwaeleza kuhusu Iran na miji mbalimbali ya Iran
  3.  
  4.  
  5. Katika Kikako cha waambata hawa wawili walimetumia nafasi hii kukuaribisha Bwana Siping kutembelea Iran ambapo alimuonesha baadhi ya Maeneo ya Iran katika vitabu kisha akawamwambia kuwa kutembelea na kujionea mwenyewe kwa uhalisia Iran ilivyokuwa nzuri
  6.  
  7. Mwisho Bwana Pirani alimpa zawadi kutoka nchini Iran na Bwana Siping akashukuru kwa mapokezi na ukarimu aliopata katika Kituo cha Utamaduni

تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Picha

Andika maoni yako.

Jumuiya ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ni moja ya mashirika ya Iran ambayo yanafungamana na Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu; na ilianzishwa mwaka 1995. [Ziada]

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: