• Sep 15 2022 - 10:24
  • 418
  • Muda wa kusoma : 1 minute(s)

Arbaeen Imam Hussein

imam husseini AS

Karbala maadhimisho ya Arbaʽeen, au Matembezi ya Arbaʽeen, ndio mkutano mkubwa zaidi wa kila mwaka ulimwenguni. Inafanyika Karbala, Iraq mwishoni mwa kipindi cha maombolezo ya siku 40 kufuatia Ashura, ibada ya kidini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (S.A.W.W) na Imam wa tatu, Hussain (A.S) familia yake na masahaba wa Imam Hussein, mnamo mwaka wa 61 Hijria.

siku ya arobaini  ya Arbaʽeen, siku ya kuuawa shahidi, mazuwwar husafiri kwenda Karbala kwa miguu kutoka miji tofauti ya Iraq na ulimwenguni kote, wengi wakitembea hadi siku 20 kufika Mji Mtakatifu kwa siku ya Arbaeen.

تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Andika maoni yako.

Jumuiya ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ni moja ya mashirika ya Iran ambayo yanafungamana na Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu; na ilianzishwa mwaka 1995. [Ziada]

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: