• Aug 16 2024 - 10:55
  • 124
  • Muda wa kusoma : Less than one minute

Official meeting with the Minister of education and vocational training

Tarehe 12 Agosti, 2024, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Kihirani, Dkt. Mohsen Maarefi, alifanya mkutano na Mheshimiwa Waziri Lela Mohamed Mussa, Waziri wa Elimu wa Zanzibar.

Tarehe 12 Agosti, 2024, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Kihirani, Dkt. Mohsen Maarefi, alifanya mkutano na Mheshimiwa Waziri Lela Mohamed Mussa, Waziri wa Elimu wa Zanzibar. Katika mkutano huu, Mheshimiwa Waziri alisema kwamba kutokana na hali nzuri na uwezo mkubwa wa vyuo vikuu vya Kihirani, wanataka ushirikiano zaidi kati ya Iran na Zanzibar katika nyanja za kisayansi. Katika mkutano huu, Dkt. Maarefi alileta ripoti kuhusu hali ya kisayansi ya Iran kwa Mheshimiwa Lela na majadiliano yalifanyika kuhusu kutenga sehemu ya masomo ya Iran kwa vijana wa Zanzibar.

تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Picha

Andika maoni yako.

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: