Chuo Kikuu cha Tehran
Chuo Kikuu cha Tehran kilichopo katika jiji la Tehran , ni chuo kikuu cha umma na chuo kikubwa zaidi cha elimu ya juu nchini Iran. Chuo Kikuu cha Tehran kinajulikana kama chuo kikuu mama na nembo ya elimu ya juu hapa nchini. Chuo Kikuu cha Tehran kilianzishwa mnamo 1934. Chuo Kikuu cha Tehran kina vitivo 25, kampasi 9 na vituo vya utafiti 16.
•Kampasi za Kieneo.
•Kampasi ya Alborz
•Kampasi ya Kimataifa ya Aras
•Kampasi ya Kimataifa ya Kish
•Kitivo cha Fasihi na Sayansi ya Binadamu
• Kitivo cha Theolojia na Masomo ya Kiislamu
• Kitivo cha Sheria na Sayansi ya Siasa
•Kitivo cha Uchumi
•Kitivo cha Mazoezi ya Kimwili na Sayansi ya Michezo
• Kitivo cha Jiografia
• Kitivo cha Tiba ya Mifugo
•Kitivo cha Sayansi ya Kisasa na Teknolojia
•Kitengo cha Kutambua Wadudu na Maradhi ya Mimea
•Kitengo cha Sayansi ya Mifugo na Ndege
•Kampasi ya Sanaa
•Kitivo cha Usanifu
•Kitivo cha Mipango Miji
•Kitivo cha Sanaa za Kuchonga na Ufinyanzi
•Kampasi ya Farabi
•Kitivo cha Theolojia
•Kitivo cha Usimamizi na Uhasibu
•Kitivo cha Sayansi ya Uhandisi
•Kitivo cha Ufundi Fooman
•Kitivo cha Ufundi Caspian
•Kampasi ya Sayansi
•Kitivo cha Hisabati, Takwimu na Sayansi ya Kompyuta
•Kitivo cha Jiolojia
•Kitivo cha Biolojia
•Kampasi ya Kilimo na Maliasili
•Kitivo cha Uchumi na Maendeleo ya Kilimo
•Kitivo cha Sayansi na Uhandisi wa Kilimo
•Kitivo cha Maliasili
•Kampasi ya Abuu Rayhan
•Kitengo cha Kilimo cha Bustani
Chuo Kikuu cha Tehran kina taasisi 3 za utafiti, taasisi 3 za kiuchunguzi , nafasi 3 za UNESCO, nguzo 19 za kisayansi. Chuo Kikuu cha Tehran kina maktaba kubwa zaidi kati ya vyuo vikuu vyote nchini Iran yenye eneo la zaidi ya mita za mraba 22,000 na yenye ghorofa tisa. Chuo Kikuu cha Tehran kwa sasa kinachapisha majarida ya fani maalumu 139, ambapo majarida 97 yana ubora wa kielimu na kiutafiti kutoka kwa Katibu (Wizara ya Sayansi, Utafiti na Teknolojia) . Kuhusiana na kiwango cha kielimu kilichotolewa na Taasisi ya Times kwa nchi za Asia mnamo 2021, Chuo Kikuu cha Tehran kilishika nafasi ya 104.
Kiungo kwenye tovuti ya chuo kikuu:
JIna | Chuo Kikuu cha Tehran |
Nchi | Iran |
Aina | Kiserikali |
Jumla ya idadi ya wanafunzi | 52588 |
Anwani | : (+98 21) 61112664 |
Tovuti | https://ut.ac.ir/en |
Chagua Kwa Umakini
Upofu wa Nyekndu Upofu wa Kijani Upofu wa bluu Nyekundu Ngumu Kijani Ngumu Kuona Buluu Ngumu Kuona Monochrome Monochrome maalumMabadiliko ya ukubwa wa maandiko:
badilisha nafasi za maneno:
Badilisha urefu wa mistari:
Badilisha aina ya panya: