.jpg)
MAKUMBUSHO YA IRAN
MAKUMBUSHO YA IRAN
Kila nchi inakuwa na makumbusho ambayo yataelezea kuhusu utamaduni au kile ilichopitia katika kumbukumbu za nchi husika, Iran pia kama zilivyo nchi nyingine ina makumbusho yake.
Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Malek lina sarafu za kale, turathi za sanaa, mazulia, maandishi ya kaligrafia na nakala za kale na za kipekee za Qur'ani Tukufu.
Jengo la Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Malek liko katika eneo al Meydan-e-Mashq (Medani ya Gwaride) mjini Tehran na kila siku idadi kubwa ya maashiki wa utamaduni, sanaa na historia hutembelea eneo hilo.
JIna | MAKUMBUSHO YA IRAN |
_1.jpg)
_1.jpg)