• May 2 2022 - 00:33
  • 312
  • Muda wa kusoma : 1 minute(s)

Programu ya Quran Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kadhia ya Qudsi

Sheikh Abdul Nour Salim, Mmisionari wa Kiislamu alisisitiza umuhimu wa kusoma Qur'ani Tukufu hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wakati kitabu cha Mwenyezi Mungu kiliteremshwa. Akaongeza kusema: “Kusoma Qur’ani katika miezi mingine kuna manufaa mengi, lakini katika mwezi huu manufaa yake yameongezeka zaidi ya maradufu. Sheikh Abdul Nour amesimulia kisa cha Palestina na kusema: Msikiti wa Al-Aqswa licha ya kuwa kibla cha kwanza cha Waislamu, ni sehemu takatifu ambapo Mtume Mtukufu rehema na amani ziwe juu yake, katika safari yake ya kutoka Msikiti Mtukufu hadi. Msikiti wa Al-Aqsa, uliswali mahali hapa patakatifu pamoja na mitume wengine.

Siku ya Tarehe 30 Mwezi wa Aprili 2022 Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu hapa Dar es Salaam Kiliandaa Programa maalumu wa Quran na kadhia ya Qudsi ambayo ilifanyika katika Ukumbi maarufu wa JAfari ambao uko chini ya Chuo Kikuu cha Kidinicha A,ustafa tawi la Tanzania jijini Dar es Salaam, kikao kilifunguliwa Rasmi na Mwenyeji ambaye ni bwana Murteza Pirani ambaye ni mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Baada ya ufunguzi wake walifuatiwa na wasomaji wa Qurani ambaye ni Ustadh Juma Kinyasi kisha akafuatiwa na Ustadh Ashraf Chande kisha Mwanafunzi wa Hassani Shah na kumaliziwa na Ustadh Samiu na Msomaji kutoka Iran pia palikuwa na mawaidha kuto kwa sheikh Abdi Nuur ni ka ya fuatavyo hapa

Sheikh Abdul Nour Salim, Mwanazuoni wa Kiislamu alisisitiza umuhimu wa kusoma Qur'ani Tukufu hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wakati kitabu cha Mwenyezi Mungu kiliteremshwa. Akaongeza kusema: “Kusoma Qur’ani katika

miezi mingine kuna manufaa mengi, lakini katika mwezi huu manufaa yake yameongezeka zaidi ya maradufu.

Sheikh Abdul Nour amesimulia kisa cha Palestina na kusema: Msikiti wa Al-Aqswa licha ya kuwa kibla cha kwanza cha Waislamu, ni sehemu takatifu ambapo Mtume Mtukufu rehema na amani ziwe juu yake, katika safari yake ya kutoka Msikiti Mtukufu hadi. Msikiti wa Al-Aqsa, uliswali mahali hapa patakatifu pamoja na mitume wengine.

 

تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Andika maoni yako.

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: