• Mar 14 2022 - 15:27
  • 294
  • Muda wa kusoma : Less than one minute
Dar es Salaam Maonesho ya Sanaa na Ufundi

Dar es Salaam Maonesho ya Sanaa na Ufundi

Katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani Kituo cha Utamaduni cha Iran Dar es Salaam kwa kushirikiana na Safina Kimbokota & Neviindie Godrich wamefanya Maonesho ya Sanaa ambayo yamefanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran kilichopo Upanga Palm Beach, Siku ya Jumanne Tarehe 8 Machi 2022, Tunachukua nafasi hii kuwashukuru sana washiriki wote haswa Ubalozi ya Indonesia, Rais wa Shirikisho la ufundi na Sanaa Tanzania - TAFCA, Dada Safina Kimbokota, Alliance française na Ndiekacha

Katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani Kituo cha Utamaduni cha Iran Dar es Salaam kwa kushirikiana na Safina Kimbokota & Neviindie Godrich wamefanya Maonesho ya Sanaa ambayo yamefanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran kilichopo Upanga Palm Beach, Siku ya Jumanne Tarehe 8 Machi 2022, Tunachukua nafasi hii kuwashukuru sana washiriki wote haswa Ubalozi ya Indonesia, Rais wa Shirikisho la ufundi na Sanaa Tanzania - TAFCA, Dada Safina Kimbokota, Alliance française na Ndiekacha, katka hafla hii ilichagizwa na msanii kutoka jijini Dodoma ambaye alitoa Burudani ya aina yake na alionesha utaalamu wa kucheza na marimba ya mkoa wa Dodoma kutoka katika kabila la wagogo, mbali na msanii huyu kulikuwa na mwana malenga wa mashairi ambaye alikijulikana kama Habeeb ambaye alionesha umahiri wake wa kuyanyambia mashairi kwa uhodari wa hali ya juu sana, maonesho haya yalihudhuriwa na Balozi wa Jahmhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye anajulikana kama Alvand pamoja na mwenyewe Bwana Morteza Pirani na Rais wa Wasanii Adrian Nyangamalle na wageni wengine waalikwa

تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Andika maoni yako.

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: