• Oct 17 2022 - 00:34
  • 554
  • Muda wa kusoma : Less than one minute

Semina Mfumo wa Maisha ya Kiislamu - Dar es Salaam

Siku ya Alkhamisi Kituo cha Iran kilifanya Semina kuhusu Mtume Mtume

HAKIKA WEWE (MTUME MUHAMMAD S.A.W.W UKO KATIKA TABIA NJEMA.
Siku ya Alkhamisi Tarehe 13 mwezi wa kumi Kituo cha Utamaduni kilifanya maadhimisho ya uzawa wa Mtume Muhammad SAWW katika ukumbi wa Kituo hicho, walishiriki watu mbalimbali na shakhsia kubwa ambazo zilitoa hutoba ya Kumsifu Mtume Muhammad SAWW. semina ilikuwa na kichwa cha habari, Uislamu na style ya maisha. Miongoni mwa waliohudhuria semina hiyo ni Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenyeji wa semina alikuwa ni Bwana Morteza Pirani, wageni waalikwa alikuwa na mama Shamim Khan na masheikh, mbalimbali
تانزانیا دارالسلام

تانزانیا دارالسلام

Andika maoni yako.

Ingiza maandiko yako Kisha bonyeza Enter

Mabadiliko ya ukubwa wa maandiko:

badilisha nafasi za maneno:

Badilisha urefu wa mistari:

Badilisha aina ya panya: