Mazazi ya Bi Fateh Zahraa (AS)
Kituo cha Utamaduni ch Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kilifanya Sherehe za Mazazi ya Bi Fatima Zahraa (AS) siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 Januari 2022 Semina hiyo hiyo ilihudhuriwa na Wanawake mbalimbali wa Dar es Salaam, kutoka madhehebu ya Suni, Shia, Bohra na Wengineo. Semina hiyo yenye kichwa cha habari FAMILIA NA HAKI YA MWANAMKE na wanawake mbalimbali walichangia juu ya mada hiyo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wanawake mbalimbali akiwe Naibu Waziri Mstaafu mama Shamim Khani, mama Riziki Shahari Waziri Mstaafu, Mama Maryam Alvandi mke wa Balozi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hapa Tanzania, Marziye Pirani Mke wa Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Iran na wengineo.

Kituo cha Utamaduni ch Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kilifanya Sherehe za Mazazi ya Bi Fatima Zahraa (AS) siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 Januari 2022
Semina hiyo hiyo ilihudhuriwa na Wanawake mbalimbali wa Dar es Salaam, kutoka madhehebu ya Suni, Shia, Bohra na Wengineo.





Andika maoni yako.